Makapuku Forum

Makapuku Forum

Copa Italia
496b87fef5db54ffef5ac007431a040d.jpg


Pamoja na kapoteza game ya leo Juventus amesonga mbele kwa jumla mabao 5-4

Fainali itachezwa tarehe 02/06/2017
Juventus Vs Lazio
Asante mkuu
 
Usiku mwema my swetie! ..

Ulale salama mke wa maisha yangu..

Mungu akulinde...


Nawatakia wote usiku mwema
Nililala salama mume wangu, naamini na wewe umeamka salama!!!

Naelekea kwenye zoezi then nijiandae kwa ajili ya kazini!!!

Mume wangu T, kuna ambalo liko nje ya akili zangu ndo maana hunioni humu toka juzi ila Usijali niko salama ni mambo ya kazi tuu....

Nakupenda,, wasalimie wana kapuku!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom