BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Wanawake wengi hata wanaume wanaathirika na kansa hii,wanajitahidi kutafuta solution Mungu atusadie.
Wanawake wengi hata wanaume wanaathirika na kansa hii,wanajitahidi kutafuta solution Mungu atusadie.
Imenishangaza sana mkuu wanaandikaa upupuu tu makanjanjaaHaya magazeti ni ya nchi tofauti?
Afadhali Mtanzania linaondana na uhalisia mitaani
Gazeti moja ni la uongo uliotukuka
Bongo mizinguo
........
Huenda ni wanandoa,aibu
Asante mama mchuchuGood morning mkuu Lee empire asante kwa magazeti uwe na siku njema barikiwa
Ni kweli...R.I.P Malcom maneno yako yana maana kubwa maishani.NUKUU YA LEO
The future belongs to those who prepare for it today
Maisha ya baadaye ni ya wale wanaoweza kuyaanda leo
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na Mwanaharakati na mmarekani mweusi Malcolm Little au Malcolm X ambaapo pia aliitwa el-Hajj Malik el-Shabazz.
Malcolm Alifariki akiwa na miaka 39 kwa mauhaji yaliyofanyika NY katika kitongoji cha Manhattan kwa kupigwa risasi 21 kifuani
Hata hivyo Malcolm X aliacha watoto 6 na mjane mmoja.
Mliopata kusoma historia ya taifa la marekani na pan-africanism mtakuwa mnamkumbuka huyu jamaa vizuri.
![]()
![]()
Wakuu:
Tuandae kesho yetu leo! Ukitakata uwe na nyumba mwakani lazima ujiandae leo! Ukitaka kuwa mtu wa namna fulani lazima ujiandae leo..!
Make your tomorror!
Transend ..
Morning mkuu barikiwaMorning fam...
Make your tommoror today!

Bila shaka gazeti la serikali limedanganya maana kutwa kuisifia serikali ht pasipostahiliImenishangaza sana mkuu wanaandikaa upupuu tu makanjanjaa
Hali mbaya sana tunalishwa wanavyotaka tuBila shaka gazeti la serikali limedanganya maana kutwa kuisifia serikali ht pasipostahili
....
Bila shaka gazeti la serikali limedanganya maana kutwa kuisifia serikali ht pasipostahili
....
Wajinga kweliiBila shaka gazeti la serikali limedanganya maana kutwa kuisifia serikali ht pasipostahili
....
Asante mkuu..!Asante Mkuu Trancsent kwa nukuu ya leo ina maana kubwa maishani ubarikiwe uwe na siku njema.
Asante nitajitahidi kurekebishaAsante mkuu..!
Nakutakia siku njema mama mchuchu..
Ila Ni Transcend sio Trancsent
Lee unampenda hiyu jamaa ulieweka avatar eeh?Wajinga kwelii


Lee unampenda hiyu jamaa ulieweka avatar eeh?
Naona hadi Whatsapp umemuweka dp ..![]()
sikuweziiiiUsikimbie mkuu..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sikuweziiii
Asante kwa taarifa za michezo mkuu Nyagei ubarikiwe![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Inashangaza