Wakati unamfurahia hazard na ubora wake pia endelea kumkumbuka Perez na zile paund million zake...... Namna anavyotafuta goli, namna anavyofunga na namna anavyochukua Kijiji basi ndivyo na pochi ya Abromovic inavyokaribia kutuna.
Phabian Delphi mpira ulikuwa kwenye miguu yake , kuna wakati alikuwa anapiga pasi tu, kuna wakati alikuwa anaendesha timu kwenda mbele na kuna wakati alimfanya Kante abaki chini zaidi na kuwafanya City kulitawala eneo la katikati na mchezo mzima kabla ya mapumziko.....
Kutokuanza kwa Nemanja Matic kuliwapa faida sana City katika kipindi cha kwanza katika kiungo.... Ila kuingia kwa Nemanja Matic kuliwapa hasara zaidi Manchester city sababu ya nafasi kuzibika kwa ile mianya iliyokuwa ikionekana awali na kuwafanya City kulitawala eneo la kiungo...... Baada ya Nemanja Matic kuingia, Chelsea walionekana kuwa Wengi katikati na kuwaweka bize Manchester city muda mwingi wa mchezo kitu kilichopelekea kupunguza uimara wa city wa awali.
Chelsea anaendelea kumkimbia Tottenham Hotspur katika uhakika wa kunyanyua ndoo Msimu huu....
Chelsea 2-1 Manchester city (hazard 2, Aguero 1)
[emo
Spurs wanatia moyo sana..... Mipango yao inaanza kuizoea ligi sasa..... Ubora wao unaanza kuizoea ligi sasa..... Wachekazaji wao wanaanza kuizoea ligi sasa ila pia miguu yao naona sasa imenogewa na top four.....
Work hard Spurs a hero could be any one... Kile mlichokifanya baada ya goli la kwanza ndicho kilichowafanya muwe ndani ya mbio za ubingwa..... What's a passion..!
Swansea city 1-3 Tottenham Hotspur.
Hapana bhinamuuu mm Chelsea damu majiiiiiha hahahhahaahhah, umehamia Spurs sasa hizi 😱, Chelsea tisha sana tunapika makande kwa kuyabanika
Asante mkuu ...hope uko poaNUKUU YA LEO
The future belongs to those who prepare for it today
Maisha ya baadaye ni ya wale wanaoweza kuyaanda leo
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na Mwanaharakati na mmarekani mweusi Malcolm Little au Malcolm X ambaapo pia aliitwa el-Hajj Malik el-Shabazz.
Malcolm Alifariki akiwa na miaka 39 kwa mauhaji yaliyofanyika NY katika kitongoji cha Manhattan kwa kupigwa risasi 21 kifuani
Hata hivyo Malcolm X aliacha watoto 6 na mjane mmoja.
Mlipata kusoma historia ya taifa la marekani na pan-africanism mtakuwa mnamkumbuka huyu jamaa vizuri.
![]()
![]()
Wakuu:
Tuandae kesho yetu leo! Ukitakata uwe na nyumba mwakani lazima ujiandae leo! Ukitaka kuwa mtu wa namna fulani lazima ujiandae leo..!
Make your tomorror!
Transend ..
plan 2day enjoy 2moroMorning my world..Umeamkaje sweetie, niko salama mume wangu!!!
Nawahi mazoezi we pumzika kidogo.....
Mmeamkaje wana familia, nawapenda wote....
T mume wangu, usiwe na hofu mie ni wako peke yako..... Nakupenda pumzi yangu
Nakupenda jojo wangu...Nililala salama mume wangu, naamini na wewe umeamka salama!!!
Naelekea kwenye zoezi then nijiandae kwa ajili ya kazini!!!
Mume wangu T, kuna ambalo liko nje ya akili zangu ndo maana hunioni humu toka juzi ila Usijali niko salama ni mambo ya kazi tuu....
Nakupenda,, wasalimie wana kapuku!!!!
Niko pouwa kabisa mkuu..Asante mkuu ...hope uko poa
Nakuu safi kabisa maneno kuntu
plan 2day enjoy 2moro
Good morning mkuu Lee empire asante kwa magazeti uwe na siku njema barikiwaGood morning wanafamilia pendwa ..![]()
AsanteTuwe na Siku njema yenye mafanikio makubwaa
Baadae tukutane kwenye unbelievable facts
Haya magazeti ni ya nchi tofauti?
Kipi hujasikia?Yeah, ndiyo mimi.. kipi kingine ulisikia!?
So sad,R.I.P villagers
Oooh my God,hofu kila wakati poor little boy with no hope!we pray for peace all over the world
