Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ilikuwa balaa japo mi sifuatilii taarabu ila masikio hayana kufulikida waziri ndio huyo nyimbo yake tuliikuta
....
Ilikuwa balaa japo mi sifuatilii taarabu ila masikio hayana kufulikida waziri ndio huyo nyimbo yake tuliikuta
Nyimbo yake sio taarab hiyo ya wifi zangu n kama rhumba sijui kumbe huyo dada yupo sijui kwa nn haimbi au n utu uzima tenaIlikuwa balaa japo mi sifuatilii taarabu ila masikio hayana kufuli
....
mkuu upo barazaniNyimbo yake sio taarab hiyo ya wifi zangu n kama rhumba sijui kumbe huyo dada yupo sijui kwa nn haimbi au n utu uzima tena
Matokeounaniletea nn
Yesmkuu upo barazani
sawa nyageiMatokeo
baraza la nnmkuu upo barazani
baraza hili la wakubwabaraza la nn
humu kuna baraza la wakubwabaraza hili la wakubwa
Wewe ni KE au Me![]()
sisemi neno
kwahiyo azam atakutana na simba auWakati wa updates za michezo na matokeo rasmi
Tunaanzia nyumbani kwanza
![]()
Azam kafuzu hatua inayofuata
![]()
Ratiba ikipangwa nitakuja kukujuzenikwahiyo azam atakutana na simba au
Mbona anapenda picha za hivyo?