Makapuku Forum

Well said
Noted
 
Habari ya asubuhi ndugu Kapuku

Ni siku nyingine tena Muumba ametupatia ili tupate muda wa kujiuliza ni nini tunacho mpaka sasa tunatumia pumzi yake pasi na malipo.

Natoa shukrani zangu kwa Katibu lee empire kwa magazeti na unbelievable facts

Pia kwa le dictator aliyetoka kunusurika karibuni kupinduliwa Mr Mussolin5 kwa historia murua.

Heko kwa Transcend kwa new segment ya nukuu ya siku naona hakuna haja ya kupitia mwananchi ili tupate nukuu mbali mbali.

Mwisho napenda kuvaa viatu vipya, nimepewa na katibu wangu hapa, kutakuwa na new segment ya ratiba na matokeo ya mechi za mpira wa miguu katika nyanja ya kitaifa na kimataifa bila kusahau ligi kubwa barani ulaya.

Karibuni.
 
Mourinho na Fellaini ni km Mkulu na Bashite......hata Fella afanye madudu gani mechi inayofuata lazima acheze tu lakini kina Mata wakifanya kosa dogo tu bemchi linawahusu
.........
 
natamani na timu yangu asanali nao wakaze kamgomo baridi...tuendelee kupoteza ili bwana yule aombe poo.... bila hivyo haondoki.....
mmaabaaakeee...!!!.....
...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…