Makapuku Forum

Kwenu nyote wakùu

Nitangulize shukrani za dhati kwa mkuu Bitoz pamoja na makapuku wote kwa yote yaliongelewa usiku sikuwa available mda muafaka ila nimepitia yote yaliyosemwa ...shukrani

ni kweli mkuu bitozi wale wengi wakongwe wa kapuku wamekuachia kazi kubwa make wengi hawapo active kama mwanzoni japo huwa unasema anatoka mtu anaingia mtu maisha yanaendelea

-
Naunga mkono kile kilichosemwa kuwa kapuku imekosa mvuto kama ilivyokuwa mwanzo make mambo mengi tunayakosa (segment zote muhimu)
Ila ndo maana mnaona tunaibua story tofauti hasa Mimi na transcend na wapendwa wetu zikiwemo kutibuana ila lengo ni kufanya forum yetu iwe active ...ndo maana 1k kwa Siku inakuwa simple sana

wengi wanadai mda ni kikwazo ila mm siungi mkono make ukijipanga na ukiwa na kitu chako kichwani ukitaka tukijue kwa kutushirikisha inawezekana ata kwa mda mfinyu sote tunabanwa ila tunajitahidi

Kuhusu swala la kuvunja moyo hilo linakatisha tamaa kiukweli na mm huwa naamini wachache wanayapitia magazeti make mara chache kuona mtu ameongezea minofu kwenye habari ila sitokata tamaa ndo maana nkaongeza UNBELIEVABLE FACTS...japo haijawaingia kichwani

My Note:

Tunaweza tukaifanya kapuku ikawa chanzo cha habari zote muhimu ata kwa ufupo..naamini wapo wengi wenye mambo mengi kichwani TUKIAMUA TUNAWEZA
#2 Tudumishe ushirikiano wetu hasa tunavoanza mwaka wetu mpya kwa kufanya kitu kwa moyo wote mfano mzee wa magazeti afanye ...historia afanyee ..je wajua isikose ,nukuu ya Leo ishapata tiba na yale yaliyoorozeshwa na rais bitoz tukiamua yanarud

Tunamis vitu kama story za hapa na pale ili kufanya jukwaa letu liwe active mda wote

utani ni jadi yetu tusisahau hilo

Mengi tutazidi kujulishana

Shukrani wakuu
 
 
Amen.....ahsante Mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…