Makapuku Forum

Matokeo ya EPL jana



Hawa Leicester city wanachokifanya ndicho kinachomshangaza profesa Claudio R...kweli wameamua na timu zishaanza kuogopa kukutana na fox hawa


Alichokuwa hakiamini Rojo ndicho kilichomshangaza Jagielka....... Aina na ya imani ya Rojo ni beki kwa beki kati yake na Jagielka ila namna Jagielka alivyoituni akili yake ishirikiane na mwili ndivyo walivyoendelea kukaribia katika record nyingine ya Ronald Koleman ndani ya OT.

Namna united wanavyocheza ndivyo united wanavyofeli..... Timu inakosa flow nzuri kuanzia katikati ya uwanja mpaka anapocheza Zlatan..... Mourinho vipi tuendelee kuandika au Bado unasoma...? Maana kilichomisi kwenye hii timu yako ni chemistry ili wale wachezaji waungane.....

Romelo Lukaku bhn kama anafinya yeye anapiga.... Hizi timu kubwa kazishindwa kabisa.

Usisahau huu Msimu ni wa lawama....

Manchester united 1-1Everton
 
Asantee mkuu

Naona mondray kashindwa segment yakee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…