Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Morning Mr collaboMorning family
Morning Mr collaboMorning family
Rudi ukalaleNdoto si mpaka tulale, au hizi mibaraka (bolded) tutazisoma tukilala?😵
AmenMorning family..
Tuombe
Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu
Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..
Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN
Hongera kwa 157kNshaongeaa nimeshindwa si unamjuaa amenunaa
Yeye anasema chakufiaa nini
AminaAmen shem barikiwa katika mipango yako ya leo
Collabo!!!Morning Mr collabo

Mambo? Mdogo wako yuko wapi?It's tea time, mie nimechelewa kidogo leo
Asante mume wangu kipenzi!!Tears is the sign of true love..!
It shows what feels your heart!
Huwa napenda kukuangalia usoni hasa macho yako...macho yako huwa yananiambia kila kitu..
I love you S..
LovelyTears is the sign of true love..!
It shows what feels your heart!
Huwa napenda kukuangalia usoni hasa macho yako...macho yako huwa yananiambia kila kitu..
I love you S..
Morning sirGoodmorning peoples
Wewe ndo umemharibu mdogo wanguKwa hiyo shemu unamanishaa nimemdekeza mm???
...!!!...Ndio taggingCollabo!!!![]()
PoaMambo? Mdogo wako yuko wapi?