Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mungu ni muaminifu, hakika ametupa neema ya kuniona siku nyingine tena!!!

Mmeamkaje wana kapuku

Shunie na shemeji Mmeamkaje jamani!!!

T mume wangu Usisahau kusali, ili Mungu atuongoze siku nzima ya leo...

Kakangu Q na wengine mashemeji zangu ni muda wa kuamka, kusali na kupiga zoezi kidogo...

T Nakupenda sanaa jamani!!!

Muwe na siku yenye tabasamu tele na Mungu wangu awabariki, nawapenda woote but I love my T da most!!!!!!
Amen ubarikiwe siku njema mummy
 
Tuwe na Siku njema wakùu kugufurika jadi yetu ilii at the end ni kunyanyua mguu juu kusherekea tulichokipata kwa siku
7eec149fe2c541128a095e43fa7e7c1f.jpg
Ubarikiwe Lee Empire kwa magazeti uwe na siku njema ye nye mafanikio,salaam kwa Shunie
 
Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom