BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Amen mkuu Mondray ubarikiweMorning
Mungu aibariki siku hii ya leo
Amen mkuu Mondray ubarikiweMorning
Mungu aibariki siku hii ya leo
Morning mkuu ubarikiweMorning family
Amen AsanteAsante mama mchungaji..
Mungu akulinde na akupe amani yake..
Naww pia jooh hope hua unalala humu jf maana sio kwa usiku huo
Karibu sanaMorning too
Morning too
Morning too
Kwema mkuu?
Asante mama mchungaji
Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen
Tunashukuru mkuuAnawapenda sana mkuu!
Tunaipenda familia ya lee na shunie pia...
We love everyone ! Kila kapuku hapa tunampenda...
Week ya makapuku hii.!
Hii week tuweke avatar za nyuso zetu
Anawapenda sana mkuu!
Tunaipenda familia ya lee na shunie pia...
We love everyone ! Kila kapuku hapa tunampenda...
Week ya makapuku hii.!
Hii week tuweke avatar za nyuso zetu
Acha kujifariji wewe ulikesha humu.Hivi kumbe alfajiri ni usiku ee?
AminaaaaMorning family..
Tuombe
Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu
Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..
Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN
Love you more guysGood morning mkuu
Hope all family iko poa ..mwambie shemela tunampendaa sana
Same to you hubbyI love you too my world...!
Have a blessed work time..!
Anawapenda sana mkuu!
Tunaipenda familia ya lee na shunie pia...
We love everyone ! Kila kapuku hapa tunampenda...
Week ya makapuku hii.!
Hii week tuweke avatar za nyuso zetu

Acha kujifariji wewe ulikesha humu.
AminaMorning wakuu..
Morning familia bora ya Jamiiforum..
Morning watani....
Nawatakia siku njema! Mtangulizeni Mungu ktk kila jambo...
All the best guys..
Morning family..
Tuombe
Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu
Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..
Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN
Am taking care of you Sakayo..Same to you hubby
Take care of yourself for me