Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Niwatakie siku njema.
Kwa hiyo shemu unamanishaa nimemdekeza mm???Nini kinaweza kukusaidia sasa, maana tumekupa mdogo wetu akiwa hana changamoto yoyote
Asantee mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
1979 - Waziri Mkuu wa Pakistan, Zulfikar Ali Bhutto anauwawa kwa kunyongwa.
Asante!![]()
Ni baba ake Benazir Bhutto![]()
Miaka mingi baadaye binti yake akawa Wazairi Mkuu na kuuawa kwa Bomu lililotegeshwa kwenye gari
....
Haina nomaBitoz
Asante kwa nondo
1987 - Sami Khedira anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa zamani Real Madrid, Juventus na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ameshinda Kombe la Dunia mwaka 2014 akiwa na Ujerumani.
Pia alishinda Uefa Champions league akiwa na Real Madrid.
Alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani kwa baba kutoka Tunisia na mama wa Kijerumani.
Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
thanks Musso1987 - McDonald Mariga anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Parma, Inter Milan na timu ya taifa ya Kenya.
Mkenya wa kwanza kutwaa taji la Uefa Champions League mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.
Pia ni kaka wa Victor Wanyama, kiungo wa Tottenham ya Uingereza.
Baba Mmoja mama Mmoja.![]()
![]()
Ni mtu na binamu au mama zao ndugu?![]()
Maana ubin tofauti
....
Na kweli wanafananaBaba Mmoja mama Mmoja.
Sema tu huyu MacDonald aliamua kutumia Ubin tofauti.
We love you too brooh!![]()
Mimi nawapenda mnavopendanaa
Hahahaaa!Ngoja niibe hii mistari.. nione kama wangu nae atalia.. nitaleta mrejesho
Asante mkuu kwa Nondo muruaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa nondo mkuuNa kweli wanafanana
......
Tears is the sign of true love..!Hubby
Sijui kwa nini nimelia baada ya kusoma ujumbe huu!!
Niseme tu Nakupenda Transcend only God knows how much I love you......
Ndio maono hayo,naamni umesoma ukiwa macho mkuu,huna ndoto yoyote ya mafanikio karibuNdoto si mpaka tulale, au hizi mibaraka (bolded) tutazisoma tukilala?😵
Amen AsanteMorning family..
Tuombe
Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu
Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..
Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN