Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1721 - Sir Robert Walpole anakuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uingereza.
3f2b775101504a6165745c5705ad55c2.jpg
5814f0646ae8859e1be343623fcc5630.jpg
faa43edad6cc465974b8f7dca5f6bfa5.jpg
 
Mussolin5 kwa wale wapenzi wa American blues halisi, leo ni siku ambapo amezaliwa Muddy Waters gwiji la blues mwaka 1915, so tunapowasikiza kina Buddy Guy, Clapton, BB King hawa nyimbo zao na mengi waliyofanya yalikuwa sababu ya huyu jamaa.

Ukimsikiza huku kichwani BAC odometer inasoma(blood alcohol content) 0.8% basi unarusiwa kufanya lolote kwa umpendaye

 
1987 - Sami Khedira anazaliwa.

Kiungo mkabaji wa zamani Real Madrid, Juventus na timu ya taifa ya Ujerumani.

Ameshinda Kombe la Dunia mwaka 2014 akiwa na Ujerumani.

Pia alishinda Uefa Champions league akiwa na Real Madrid.

Alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani kwa baba kutoka Tunisia na mama wa Kijerumani.
 
1987 - McDonald Mariga anazaliwa.

Ni kiungo wa zamani wa Parma, Inter Milan na timu ya taifa ya Kenya.

Mkenya wa kwanza kutwaa taji la Uefa Champions League mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.

Pia ni kaka wa Victor Wanyama, kiungo wa Tottenham ya Uingereza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom