Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning baby....

Wakati mwingine huwa nashindwa kabisa kukueleza nakupenda kwa kiasi gani..

Hakuna maneno yanayoweza kuelezea upendo nilionao kwako..

I am totally immersed into yo ...

Kila siku nikiamka naona penzi ndo kama limezaliwa..

I see the reason to live..! I see the reason to say that I AM A MAN ..

I see the reason to be Happy in every second of my life..

Nakupenda mno sakayo...! I real love you my woman..

Goodmorning S wangu
Hubby
Sijui kwa nini nimelia baada ya kusoma ujumbe huu!!

Niseme tu Nakupenda Transcend only God knows how much I love you......
 
Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen
Amina mamy
 
Tarehe kama ya leo, mwanaharakati wa HAki za Weusi katika USA, Martin Luther King Jr anauawa kwa kupigwa risasi hotelini huko Memphis,Tennessee.
Muuaji wake alikamatwa na kufungw miaka 99.
 
Am taking care of you Sakayo..

I have your heart..! Lazima niulinde huu moyo wako ulionipa mama..

Take care of me too..
Baby love
Moyo wako uko mahali salama honey!!!
Kila sekunde lazima niulinde na kuuthamini mpenzi!!! Till death do as apart!!

Can't handle this life without you by ma side!!!

Love you husband of mine
 
Tarehe kama ya leo, mwanaharakati wa HAki za Weusi katika USA, Martin Luther King Jr anauawa kwa kupigwa risasi hotelini huko Memphis,Tennessee.
Muuaji wake alikamatwa na kufungw miaka 99.

Tarehe kama ya leo, mwanaharakati wa HAki za Weusi katika USA, Martin Luther King Jr anauawa kwa kupigwa risasi hotelini huko Memphis,Tennessee.
Muuaji wake alikamatwa na kufungw miaka 99.

c96ada755f302a813db6e1267cb7a432.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom