Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mama mchungaji heshima yakoHakika
Mama mchungaji heshima yakoHakika
Hata nisipompa muda atajitetea tuuUsimpee mda wa kujiteteaa
mmu na kwenye habari mchanganyiko nilimuona kamtafute huko
haya bwana
hahahhahUsike Mkuu.
Maana cheko lako linashitua sana ujue.
Mzee wakeewazima karibu sana Snipes yuko ap
Pole kwa kushtukaUsike Mkuu.
Maana cheko lako linashitua sana ujue.
Vzr endeleeni tu kujaaTupo tumejaaa
Ameen mama mchungajiHakika na sasa amshukuru Mungu kwa uponyaji aliinpa

MmmmhNa ntachepukaa kwelì
Au nimuitee mhudumu
![]()
![]()
![]()
Wazee ndo wazur hawasumbuiMzee wakee
Unatumiaa kinywaji gani tofauti na sayonaKofi la mpenzi haliumi
Umeona eeeh nilikua nashangaa peke yangu kumbe kuumwa...aende hospitali kwakweliPole ndugu yangu.....Hakika unaumwa mpaka kuandika unakosea kosea.....hospital first
kama umepanga kuchepuka hamna atakaeweza zuia na huyo muhudumu nina wasi wasi nae sijataka tu kukwambiaNa ntachepukaa kwelì
Au nimuitee mhudumu
![]()
![]()
![]()
Unajipenda lakiniMichepuko mema
Laa wapii hiliMmh mtu ana mahasira yake hapana kwakweli
Anauza nini?

Poa shem mbagala vip leo mvua kwetu kidogo ilinyeshaSalama shem
Mambo vipi
Lee mushenga unaimba taarabu Siku hiziiWoyoooooooBAELEZEE BAELEZEEEEEE