Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sina hasira dada nipo kawaida tuMdogo wangu, unajua wanaume hamna lakini!!!
Hasira hazijengi ndoa
Wewe hukioniii ??Mmh kipi kingine
tunakupenda piaJamaniiii
Mume wangu T yuko njiani, Ngoja nikamuandalie maji ya kuoga na chakula.
Baadae sana, nawapenda.
T Nakupenda sanaa
Tunazo za Kapuku'smakapu wenza ujue atujuane nawaomba tukutane Central uje na T-shirt lenye jina lako la jf tujuane tuweze kusaidiana kimaisha tukutane Polisi Central
Huniaminiiiii??Hahaha bae wangu anataka kuibiwa mama mchungaji
Bora mods wanavyonipa ban za siku nikipewa ya week nikirudi mume sina
Ntakicheeemaaa kechoooKiniambie basi
Unasemaa tuuMichepuko mema
UtaniiiMmmmh
Kweliìi kabisaaWazee ndo wazur hawasumbui
La moyonii aukama umepanga kuchepuka hamna atakaeweza zuia na huyo muhudumu nina wasi wasi nae sijataka tu kukwambia
Ndizii usinunuee ksnunue redbullRedbull
Mwambiee shemuMdogo wangu, unajua wanaume hamna lakini!!!
Hasira hazijengi ndoa
Sikuwepo ndio naekekea huko ila nahisi ni pakavu leoPoa shem mbagala vip leo mvua kwetu kidogo ilinyesha
Pesa ya ndizi ananunua redbullRed bull![]()
Mmmmmmmh wala ofu ondoaamoyoniiiiii