najua..[emoji1] [emoji1] ...hii kitu mapindi hayo...ikipikwa home mchana...ni full vicheko...mnaskilizia harufu ukoko tu..beche likiwa limepeliliwa...we achaa...[emoji1] [emoji1] ...!!..Chief za masiku hiko chakula nimekimiss yaan ulivyoandika hapa mpk mate [emoji39]
mmmhh kwaresma hii baby tumefungaBaby shunie njaa inauma nionee huruma mbona unapenda tamthilia hivo huoni dadako???
Chai tumekunywa juis ya miwa[emoji4] [emoji4] [emoji4] mchana sioni dalili
Ongeaaaaa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Km nakuona haponajua..[emoji1] [emoji1] ...hii kitu mapindi hayo...ikipikwa home mchana...ni full vicheko...mnaskilizia harufu ukoko tu..beche likiwa limepeliliwa...we achaa...[emoji1] [emoji1] ...!!..
mbona steve siona tena story yake hii mpya eb ukiona niquotenajua..[emoji1] [emoji1] ...hii kitu mapindi hayo...ikipikwa home mchana...ni full vicheko...mnaskilizia harufu ukoko tu..beche likiwa limepeliliwa...we achaa...[emoji1] [emoji1] ...!!..
Pole ndugu yangu.....Hakika unaumwa mpaka kuandika unakosea kosea.....hospital firstAksante shunie....
Sijaenda ila nmepo mkutumia dawa hapa nyumbani kwanza... Pia nimkushangazwa sana nililala niko vzr ila leo nimeamka nipo mkuumwa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole ndugu yangu.....Hakika unaumwa mpaka kuandika unakosea kosea.....hospital first
kwani baada ya baladhuri kuna nyingine kaianzisha..??..mbona steve siona tena story yake hii mpya eb ukiona niquote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]je wajua wali,maharage,kachumbali na ndizi... ndio chakula kinachowapeneza sana watoto kikiliwa mchana majumbani mwao..!!!.....tangu enzi na enzi....[emoji19] [emoji19] ..!!..
[emoji1]mmmhh kwaresma hii baby tumefunga
Unashindwa nini kukipika lakin swtyChief za masiku hiko chakula nimekimiss yaan ulivyoandika hapa mpk mate [emoji39]
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Ongeaaaaa
yes kaanzisha mpya ipo episode ya 5 sijui nzuri sana nashangaa siioni tenakwani baada ya baladhuri kuna nyingine kaianzisha..??..
mkuu mbona umecheka sanaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mushenga[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Mmmmmmmh kweresma au uvivu wakoommmhh kwaresma hii baby tumefunga
yaan ata sijui nimekimiss kweli wali wa nazi na maharage ya nazi na samaki pembeni [emoji39] hii week haitaisha nitapikaUnashindwa nini kukipika lakin swty