Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahahahh lee niache nimepika wali kwenye rice cooker na huku kwenye gas mbogaAiiiiseewwwh hakijaivaa
hahahahh lee niache nimepika wali kwenye rice cooker na huku kwenye gas mbogaAiiiiseewwwh hakijaivaa
sijakuona mda karibu sana nipo huku kwa shemeji yako joshy nimekamatika

MwambieeeMbona umecheka shem?
HakikaNi siku njema Mungu ametupa
Bhanaaaaaah hivi uvivu kakufundaa nanhahahahh lee niache nimepika wali kwenye rice cooker na huku kwenye gas mboga
mambo unayoyapenda hayo baby sio kila anaenisalimia ananitaka hapana n marafiki tu uwe na amani zote
hahahah hamna nimefurahi tu shemMbona umecheka shem?
uvivu gan baby si nimeshapika jamaanBhanaaaaaah hivi uvivu kakufundaa nan
PM kama anaogopa vile

UbarikiweMorning family..
Morning kapuku's..
Nawatakia asubuhi njema wote wakuu..
Mu-enjoy week ya makapuku..
"I wish I could be IGP"kakaza sana hivyo hata muda wa kuingia huku unakuwa finyu sana.sijakuona mda karibu sana nipo huku kwa shemeji yako joshy nimekamatika
JamaniiiiAsanteee shemu nimerudii home mdogo wako yuko bize na telemundo ....mm njaa eti anamtuma mtoto wa jirani chops
SakayoJamaniiii
Pole mwaya, vumilia tu ndo wako huyo
Badilika basi mdogo wangu, wanaume wenyewe hawa wachachemambo yako hayo dada unayoyapenda mm kurudi sirudi
UsirudieBas dada nisamehe najua tukisalimia kwingine huku hakuna haja
SureSo touching
Hebu mshtue na kelbu mojaKapikeee bwanaaaah nazima meiniiii soketiii
Mwambie wewe hapa JF ni maarufu sana kuliko anavyokujua.Hivyo avumilie tukusalimie tu hakuna namna.mambo unayoyapenda hayo baby sio kila anaenisalimia ananitaka hapana n marafiki tu uwe na amani zote
Hahahababy chakula tayari karibu kula wakaribishe na shemeji zangu bila kumsahau dada angu![]()