BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Bila shakaNtakua dar hiv karibuni ntakucheki kama utanipa ushirikiano mtumishi
Bila shakaNtakua dar hiv karibuni ntakucheki kama utanipa ushirikiano mtumishi
hivi kweli mpo siriasiii au ndio ndizi zinapoteaHahaha
Niko huku kisongo Kakangu
Shunie katika ubora wakondio ujitahidi kwa mama mchungaji
Ntakua dar hiv karibuni ntakucheki kama utanipa ushirikiano mtumishi



Songela sana mama mchungajiKARIBUNI
huku hakuna kituZamu yenu inafuata
Ameen.. maneno madogo ila yana maana kubwa sana ukifikiria, be blessedUsiwaze sanq mpe Mungu nafasi
Mmekata miti kote ninihuku hakuna kitu
Mji unakua sanaKijichi pamependeza sanasana na panafikika siku hizi
Karibu sanaSongela sana mama mchungaji
Kinyiramba tena!!!Songela sana mama mchungaji
Kuna sehemu unapata 1heka kwa 250kNapendelea kununua nje ya mji ni bei poa
Too bad hiiUle umeme wa ethiopia wao wana mradi mkubwa utazalisha MW 6470 ,WAMEAHIDI KUTUPA MW 400 KWA BEI NAFUU NA KULETA WATAALAMU KUTUSAIDIA KUFANYA UTAFITI NA KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI UMEME KWA KUTUMIA MAJI YA MITO NK
Homo erectus
hakuna miti hukuMmekata miti kote nini
Wewe! Wapi huko mkuu wangu mimi ni bepari la ardhi ujueKuna sehemu unapata 1heka kwa 250k
Subiria vuta subrahuku hakuna kitu