Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Safi mkuu..Niko kikazi chuga japo nimekuwa na makzi, mimi ni mtoka mbali sana, waziri mkuu aliyekuwepo nchini wiki hii ni kiongozi wangu
One day tutakuwa adidas ababa..!
Safi mkuu..Niko kikazi chuga japo nimekuwa na makzi, mimi ni mtoka mbali sana, waziri mkuu aliyekuwepo nchini wiki hii ni kiongozi wangu
acha tu na ndizi pembeni kuna heinken naipenda Arusha hapo tuHapana chezea nyama
Ahsante sanaKaribu sana mkuu
Baby nooooUnaonjaaa kidogooo tuu..!
Robo glass..
huko wapi huko [emoji23][emoji23] mbona sisi kwetu jua kaliKuna radi huku zinaogofya vipi huko kwenu?
Kwanini uliipenda avatar ya PK?Niko kikazi chuga japo nimekuwa na makzi, mimi ni mtoka mbali sana, waziri mkuu aliyekuwepo nchini wiki hii ni kiongozi wangu
Ok,safi sana msisitize atuletee umeme jamani maana iko siku tutabaki giza hapa kwetuNiko kikazi chuga japo nimekuwa na makzi, mimi ni mtoka mbali sana, waziri mkuu aliyekuwepo nchini wiki hii ni kiongozi wangu
Katibu ni leeKatibu unaumwa tena mkuu?
Amen mtumishi, ibada imeendaje!Ubarikiwe mkuu
Sijambo shem wane habari ya weweHujambo
HahahaNiko kikazi chuga japo nimekuwa na makzi, mimi ni mtoka mbali sana, waziri mkuu aliyekuwepo nchini wiki hii ni kiongozi wangu
Mpe tu champagneUnaonjaaa kidogooo tuu..!
Robo glass..
Mi nimelala kabisa radi hatari kama chakula hakuna ndani mnashinda na kulala njaa kila mtu anaogopa kutoka,radi mvua kubwaaa upepoooKuna radi huku zinaogofya vipi huko kwenu?
Pole sana! Na mshukuru Mungu kwa kuponaKatibu ni lee
Mweka hazina hapa
Nilikuwa naumwa sio kwamba ninaumwa
Nani huyo?anaanzishaga habari za ndizi halaf anasepa akupe na nyanya [emoji23]
Kwenu wapi?Kuna radi huku zinaogofya vipi huko kwenu?
ww huyo kaka [emoji23] unakumbuka mara ya mwisho ulisema utanitumiaNani huyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakua upo Karatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huko wapi huko [emoji23][emoji23] mbona sisi kwetu jua kali
Hahahaaa! Sawa MTMpe tu champagne