Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaNasubiri unijulishe uko wapi nikuletee
Niko huku kisongo Kakangu
HahahaNasubiri unijulishe uko wapi nikuletee
Kijichi bei juuMbali huko mkuje mjenge huku Kijichi
Kijichi pamependeza sanasana na panafikika siku hiziMbali huko mkuje mjenge huku Kijichi
HaswaaYaaah hali nzuri na mvua imetulia
Napendelea kununua nje ya mji ni bei poaMbali huko mkuje mjenge huku Kijichi
Utapapenda sasaNikiri tu kuwa bado sijavuka kwa daraja nilizoea mbizi a.k.a mv kigamboni
HahahahaMy situation right now
Pole sanaHahahaha
Unarudi town mda gani?Hahaha
Niko huku kisongo Kakangu
Atakuwa bado hajaanza utundu twaweza kwenda tunikimaliza likizo ya uzazi nitakua busy na kulea badae sna ndio nitaenda
Mimi nataka kigamboni mashambani kuleeeKijichi pamependeza sanasana na panafikika siku hizi
Asante sana.. ndo ukubwa huoPole sana
Ntakua dar hiv karibuni ntakucheki kama utanipa ushirikiano mtumishiUtapapenda sasa
Ule umeme wa ethiopia wao wana mradi mkubwa utazalisha MW 6470 ,WAMEAHIDI KUTUPA MW 400 KWA BEI NAFUU NA KULETA WATAALAMU KUTUSAIDIA KUFANYA UTAFITI NA KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI UMEME KWA KUTUMIA MAJI YA MITO NKHaswaa
Hakika mkuuAmen,afya ni mtaji mkuu
ndio ujitahidi kwa mama mchungajiTena siku hizi tunakwenda kwa mguu tu
KaribuMimi nataka kigamboni mashambani kuleee
Usiwaze sanq mpe Mungu nafasiAsante sana.. ndo ukubwa huo
Zamu yenu inafuatanataman ningekua mkazi wa huko kuna dada angu huko ngoja nimpigie