Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nasubiria sakayo anitafute jmnhivi mbona swala la ndizi unapotezea kaka
Nasubiria sakayo anitafute jmnhivi mbona swala la ndizi unapotezea kaka
SawaKaribuni Arusha nitakuwa mwenyeji wenu na offer ya kwenda Arusha national park, utajitegemea malazi na chakula, trans na fees itakuwa juu yangu
Ni vyema kujua hiloSafi
nataman ningekua mkazi wa huko kuna dada angu huko ngoja nimpigiePoleni sana huku leo no pangaboi
Vipo vya kupima na wenyeji ni vizuri uwepo uone uamue wakati wowote vinapatikanaNitafutie kiwanja huko mtumishi
Nasubiri unijulishe uko wapi nikuleteeMmmmh
Kwenye location ya mama mchungajiashirikishwe kwenye nini
mmh si umuanze ata wwNasubiria sakayo anitafute jmn
Haya QUIGLEY kuja hapa uoneKIGAMBONI
Uwe family ya kfHii offer inahutu watu gani haswa?.. au vigezo na masharti kuzingatiwa?
Hahahaaaaa nimeitajaKwenye location ya mama mchungaji
Tena siku hizi tunakwenda kwa mguu tuNyagei mbagala na kigamboni ni karibu tu fanya siku ukamtembelee
KARIBUNIHahahaaaaa nimeitaja
Mbali huko mkuje mjenge huku KijichiTuna kanyumba cha kupangisha rangi3 shuleni
Nikiri tu kuwa bado sijavuka kwa daraja nilizoea mbizi a.k.a mv kigamboniKaribuni sana sana ..kuna utalii huku wa daraja
Kama SizonjeKama p didy au shetta
KF=.......?!Uwe family ya kf