Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio maanahakuna miti huku
Ikwiriri ndani ndani hukoWewe! Wapi huko mkuu wangu mimi ni bepari la ardhi ujue
Babangu ni habesh wa Ethiopia, maza mtz, nami ni mtz kwa kuzaliwa....nimeishi karibu mikoa yote tz kutokana na nature ya kazi yangu, ninasikia makabila zaidi ya 32, wskiongea natambua ni kabila gani.Wewe sio msomali kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Kinyiramba umekijua
Barabara na maji vipi?Ikwiriri ndani ndani huko
Hahahaaa!Usianze hiyo safari ya kuonja utakuwa mtaalam
Yaani mdogo wako! Atakumbia na Mbuzi choma wa kwa MoromboNa nyanya tena
Mondry ni mjanja hataki malumbano kwani ukimtaja mtu na akasoma post hiyo mtatifuana.

Napenda misimamo yake hasa ya kuijenga Rwanda for any costKwanini uliipenda avatar ya PK?
Nakumbuka kipindi flani nilikuwa nafanya field maeneo ya kisongo..nikija tena nitakutafuta unipeleke huko

Bunda ama rorya?Kuna manyunyu tu huku na radi za kuogofya
Duuuh hili ni dongoNa wewe mbona kama unakuwaga wa kolomije
Kipi?aisee sinywagi mm mavitu mengine kinywaji changu ni kimoja
hahahahh ujue ndio kilichokua kinafata Quigley atajutaYaani mdogo wako! Atakumbia na Mbuzi choma wa kwa Morombo
Nakumbuka kipindi flani nilikuwa nafanya field maeneo ya kisongo..
Nilikuwa natoroka kwenda kula nyama mkuu..! Hazi zingine nabeba kwenye mfuko wa rambo ! Hahaaa
Ila siku moja nikamzingua masai mmoja..wao wanasema NYAMA HAINA MWENYEWE.
Yaani ukikikuta unakula nyama na yeye anakaa kula nyama bila kukaribishwa maana nyama haina mwenyewe na yeye ukimkuta wewe toa kisu chako anza kula nyama..
Nikaona mtu anakaa then kachomoa sime kaanza kula nyama yangu...aisee nilimletee nouma
Watu wanakiambia dogo kuwa mpole haya ndo maisha ya huku..



aiseeeBabangu ni habesh wa Ethiopia, maza mtz, nami ni mtz kwa kuzaliwa....nimeishi karibu mikoa yote tz kutokana na nature ya kazi yangu, ninasikia makabila zaidi ya 32, wskiongea natambua ni kabila gani.
Nimeishi mwanza, shinyanga, musoma, tabaora, dodoma, tanga,kilimanjaro , singids na sasa Arusha. Nimesomea Dar tangu nikiwa kachalii kadogo so dar nimeishi muda mrefu zaidi ya mahali popote tangu nizaliwe.
Aiseeee ukisema Arusha National park nakumbuka kitu...Karibuni Arusha nitakuwa mwenyeji wenu na offer ya kwenda Arusha national park, utajitegemea malazi na chakula, trans na fees itakuwa juu yangu


Beer ipi sasa?beer kaka
Hahahaaa! Sawa mke wanguBaby mie Hapana
Acha nikae hivyo hivyo