Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nitakuja kigamboni...one day mama mchungajiNyagei mbagala na kigamboni ni karibu tu fanya siku ukamtembelee
Nitakuja kigamboni...one day mama mchungajiNyagei mbagala na kigamboni ni karibu tu fanya siku ukamtembelee
siri yangu shemelaBeer ipi sasa?
Kwani hujuagi?aiseee
sjjui kwakweliDuuuh hili ni dongo
Makumbusho ya ndege nini!!!Aiseeee ukisema Arusha National park nakumbuka kitu...
O level![]()
sijui ndio nimeona hapa leoKwani hujuagi?
Sio kagera kweli!Bunda ama rorya?
Hivi watu wa dar mkienda mkoani mnapelekaga nini?hivi mbona swala la ndizi unapotezea kaka
Aiseee!Unarudi town mda gani?
Kwasasa niko ngurdoto lodge usa river
Sawa mkuu...Napenda misimamo yake hasa ya kuijenga Rwanda for any cost
hahahha nimecheka sana sisi tukienda mkoani tunabeba hela tuHivi watu wa dar mkienda mkoani mnapelekaga nini?
Wewe kila saa tuu unataka ndizi
We ni chali ya arusha weweAiseee!
Wasalimie kwa Don hapo usa-river
Wewe utakuwa unapiga Bapa kwanzasiri yangu shemela


Hela dar hakuna kwa sasahahahha nimecheka sana sisi tukienda mkoani tunabeba hela tu
No..Makumbusho ya ndege nini!!!
Wewe utakuwa unapiga Bapa kwanza
Avatar yenyewe imekaa kibapa bapa
ipo kwa baadhi ya watu tuHela dar hakuna kwa sasa
Si hela tuu..hahahha nimecheka sana sisi tukienda mkoani tunabeba hela tu
Napajua chuga eroo! Nimesoma chugaWe ni chali ya arusha wewe