Makapuku Forum

Makapuku Forum

d1029ffde9f24fa97b32d17678732634.jpg
ee6c0ba9ac91afb6b4c42a5e4c05012a.jpg
9ad7a4347b5fdb900a9dc567685a65ae.jpg
Randy nilikuwa simpendi jamani khaaa
 
Shem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soon
Usiwe mbali nae mkuu..

She need to see you very close..

Hapa ndo mwanamke anaihitaji uwe close.. ule msemi wa uchungu wa mwana aujuaye mzazi...walipindisha tuu..

Ilitakiwa iwe uchungu wa mwana aujue mama..
 
Usiwe mbali nae mkuu..

She need to see you very close..

Hapa ndo mwanamke anaihitaji uwe close.. ule msemi wa uchungu wa mwana aujuaye mzazi...walipindisha tuu..

Ilitakiwa iwe uchungu wa mwana aujue mama..
Kabisa mkuu najitahid sana ila kufikia saa 4 ntakuwa nae nakaribia si unajua kutafuta mkate wiki nzima nilikuwa mbali kidogo
 
Wakuu baadae sana takuja kuwa cheki
-Lee empire
-shunie
-mondray
-transcend
-quigley
-mkubhi
-aisha2016tambua kuwa nakupenda sana
Karibu kwenye ufalme wa moyo wangu usaini mikataba ya kuwa na mimi mpaka mwisho wa dahar

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] baadae family
kuzoea zoea watu mwisho utazoea majini
 
Back
Top Bottom