Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Amina kaka!Kweli kabisa tuombe mungu azaliwe salama kwanza
Amina kaka!Kweli kabisa tuombe mungu azaliwe salama kwanza
Hamna neno linaloweza kuelezea jinsi ninavyo kupenda love!! Just believe am all yoursMoyo umejaa furaha kuona ujumbe wako...
I see your handwriting sweetie..
And it makes me feel your presence..
I love you mke wangu
Thanks, glad to hear thatMorning my shem
Mm nipo ok
DaaaahAsante mkuu ...worry out mtamuona mtoto tumuombe mungu
Hamna neno linaloweza kuelezea jinsi ninavyo kupenda love!! Just believe am all yours


Shem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soonShem mie Sijambo
Vipi mdogo wangu amelalaje jamani
ShemKweli kabisa tuombe mungu azaliwe salama kwanza
HeeeShem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soon
Nashangaa na Mimi ila usiku ndo kajisikia vibaya si unajua na deko zakee ila usiofuShem
Ya kweli hayoo, juzi tuu umesema changa leo tayari???!
ShemShem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soon
KAMA UTAKUA UNATUDANGANYA LAANA YAKE ITAIKUMBA HADI KIZAZI CHAKO CHA TATU.Shem mdogo wako kiukweli kwenda hospital tuone kama mungu atajalia naweza k uitwa Baba na yeye mama ila aliyenae ananiupdate yuko vizuri na mmi ntakuwa nae soon
Hope na wewe utafika kuwa naeeHeee
Milele amina tunaomba iwe ivooShem
Mungu ni mwema atajifungua salama
I love youNambie mama watoto wangu
AminaMilele amina tunaomba iwe ivoo
Shem nitakuwa nae kwenye maombi!!! Niko kaskaz huku ila nitamtumiepo ndizi za mtoriHope na wewe utafika kuwa naee
Hahaha...mtu flani wa VuruguHahaa!
Huyu jamaa nilikuwa simpendi..
Mvurugaji wa mechi sana
Shem uachage utani basiNashangaa na Mimi ila usiku ndo kajisikia vibaya si unajua na deko zakee ila usiofu
Najua shemu Ila asante ,make mtori mzuri kuregain afyaShem nitakuwa nae kwenye maombi!!! Niko kaskaz huku ila nitamtumiepo ndizi za mtori