Makapuku Forum

Makapuku Forum

1976 - Clarence Seedorf anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Ajax, Real Madrid, Ac Milan na timu ya taifa ya Uholanzi.

Ametwaa taji la Uefa Champions League mara akiwa na timu tatu tofauti na kuwa mchezaji pekee kufanya hivyo.

Akiwa na Ajax mara moja, Madrid mara moja na Ac Milan ametwaa mara mbili.
8e138cd5d3ab60e96608288e9ed15b77.jpg
09cf7f9de51edd911d748087ae86a170.jpg
12d4e364a63b5b8bde84400b5482fec9.jpg
f7253e346e3b96a72e058886bdfc4f76.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom