Imarisha tu boma lako inatoshaafu beib kuna watu humu nishawaona wameanza kukutolea macho
wafungie vioo weka na tinted kbs
hasa huyu shedede hafai hata kwa kulumagia![]()
That's foolish
Mbona simu yake haiko hewaniWakuu shunie anaendelea vizuri soon mtakuwa nae
Waliisahau home ila soon atapatikanaMbona simu yake haiko hewani
AaamenMuwe na siku njema Makapuku wote Mungu akawabariki mfanikiwe, wagonjwa wakapate nafuu, wazazi watarajiwa wakawe wazazi kamili na furaha tele, wanaouguza wakaongezewe nguvu na imani kwa wagonjwa wao Amen
HahahaWaliisahau home ila soon atapatikana
Brother mambo fresh tu.Vipi braza
walauBrother mambo fresh tu.
Naona mambo si mabaya sasa hv.
yapHahaha eti eeh
Bro Fanyeni kweli sasa.walau
ondoa shaka kakaBro Fanyeni kweli sasa.
Si unaona wengine wanapata watoto.