Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Shikamoo mussolin51980 - Mwanamieleka Randy Orton anazaliwa.
Shikamoo mussolin51980 - Mwanamieleka Randy Orton anazaliwa.
HONGERA SANA BRO.Good morning all kapuku ,ni Siku nyingine tena Mungu katujalia kuiona na nashukuru sana kwa upendo wenu
Naomba mtuweke kwenye maombi yenu make mpenzi kipenda roho changu shunie mungu akijaria Leo au kesho mnaweza mpata anko naona kaamka na uchungu ila shaka ondoa najua Sara zenu naamini atakuwa poa
Niko mbali nae kidogo ila nshaanza safari ya kuelekea hospital aliyopelekwa ..nafikiri mlijua ni utani wa humu kapuku ila ni kweli mm na shunie ni wapenzi kabisa ndo maana wengine wanaona nina wivu
Soon tutayapitia magazeti![]()
Hebu chaguaHe sasa niende kwa nani![]()
![]()
Komaaaa ni shem wako kwa snipesAishah wa mwaka jana mambo mrembo
Hua huishiwi vituko ww daah
Nakuambia kaa mbali nae please. .Niko poa mrembo wa nguvu
Sawa Soud baadae mzee mkavu.Wakuu baadae sana takuja kuwa cheki
-Lee empire
-shunie
-mondray
-transcend
-quigley
-mkubhi
-aisha2016tambua kuwa nakupenda sana
Karibu kwenye ufalme wa moyo wangu usaini mikataba ya kuwa na mimi mpaka mwisho wa dahar
![]()
![]()
![]()
![]()
baadae family
Thanks midevuLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumamosi njema na Wikend njema wandugu!
Na sizonje atakupa kitabu cha
How to pay taxes
Everything play rules
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa.. Mzima lknKomaaaa ni shem wako kwa snipes
Hua huishiwi vituko ww daah
Nakuambia kaa mbali nae please. .
Sawa Soud baadae mzee mkavu.
Aisha mpotezeee tafadhari..
1918 - Jeshi la Anga la Uingereza " The Royal Air Force " laanzishwa.
Mzimaaaaa shemSawa.. Mzima lkn
1924 - Adolf Hitler anahukumiwa Jela miaka 5 kwa kosa la Uhaini lakini anaenda kutumikia miezi 9 kabla ya kuachiwa huru.
OkThanks midevu
Mkuu hope uko bombaMorning Makapuku wenzangu.
Mpo njema?
Mungu awabariki siku ya leo iwe njema kwenu, mtimize malengo yenu ya leo.
-wenu mtiifu
Kapuku Mgeni