Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Morning Jooh!Morning Brothers & sister
- Transcend
- Obe
- Musolin5
- Lee empire
- Shedede
- Snipes
- Nyagei
- Sakayo
- Werrason
- Shululu
- Bitoz
- Aisha2016
- Clkey
- Kabumbu
- Quigley
- Blessed Hope
- Shunie
- Denood
- Nawatakia asubuhi njema. Nawapenda sana ndugu zangu Mungu abariki kazi ya mikono yenu.
Na kwako piaMorning Brothers & sister
- Transcend
- Obe
- Musolin5
- Lee empire
- Shedede
- Snipes
- Nyagei
- Sakayo
- Werrason
- Shululu
- Bitoz
- Aisha2016
- Clkey
- Kabumbu
- Quigley
- Blessed Hope
- Shunie
- Denood
- Nawatakia asubuhi njema. Nawapenda sana ndugu zangu Mungu abariki kazi ya mikono yenu.
Na kwako iwe njemaMorning Makapuku wenzangu.
Mpo njema?
Mungu awabariki siku ya leo iwe njema kwenu, mtimize malengo yenu ya leo.
-wenu mtiifu
Kapuku Mgeni
Niko bomba joohMorning Jooh!
How have you been?
Habari nzuri mkuu..Tuwe na Siku njema
Muhimu mtukumbuke kwenye maombi yenu shunie wangu ajifungue salama matumaini tuko wote
Mambo shemelaNimekuja jmn amka
Morning tooWakuu baadae sana takuja kuwa cheki
-Lee empire
-shunie
-mondray
-transcend
-quigley
-mkubhi
-aisha2016tambua kuwa nakupenda sana
Karibu kwenye ufalme wa moyo wangu usaini mikataba ya kuwa na mimi mpaka mwisho wa dahar
![]()
![]()
![]()
![]()
baadae family
Kwa ulimkubalia jana usikuHe sasa niende kwa nani![]()
![]()
1976 - Kampuni ya Apple yaanzishwa huko California Nchini Marekani na Steve Jobs na wenzake!
Hahaa!1980 - Mwanamieleka Randy Orton anazaliwa.
Asantee mkuu..!HONGERA SANA BRO.
YAANI MM NAJUA KUA HUA MNAIGIZA KWAKWELI.
MYNGU ATAMSAIDIA.
HOPE UTATUONYESHA MTOTO.
Nakumbuka maneno yako siku ile Namtokea FREM ZERO uliniambia
"Mapenzi ya humu ni mubashara kabisa"
Hongera zenu.
Sakayo & Transcend na nyie tunataka iwe hivyo.
Niko byee kabisaNiko bomba jooh
Sijui wewe jooh.
1927 - Ferenc Puskas anazaliwa.
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hungary.
Anatajwa kama mmoja wa wachezaji bora wa wakati wote.
BhinamuuuAishah2016 umeamka salama?
Asante mkuu ...worry out mtamuona mtoto tumuombe munguHONGERA SANA BRO.
YAANI MM NAJUA KUA HUA MNAIGIZA KWAKWELI.
MYNGU ATAMSAIDIA.
HOPE UTATUONYESHA MTOTO.
Nakumbuka maneno yako siku ile Namtokea FREM ZERO uliniambia
"Mapenzi ya humu ni mubashara kabisa"
Hongera zenu.
Sakayo & Transcend na nyie tunataka iwe hivyo.
Asantee mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumamosi njema na Wikend njema wandugu!