Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Vipi shemWakuuu Kwema humu ??
Vipi shemWakuuu Kwema humu ??
Yuko lockupBaby shunie nakumis popote ulipo
Nsharudiii swty kichaa wangu
Nipo mkuuSakayo wapi???
Mambo!Nipo mkuu
PoaMambo!
Yaani yule jamaa, basi tuu. Ni mropokaji mzuri, hata mie amewahi nirushia maneno wala sikumjibu, wako wawili manunga embe. Nyuzi zao sichangii nasoma tuu napitaNdo naona kuwa ana ban
Ila ukimya nayo ni silaha
Kwema sanaPoa
Veeepee
Mume wangu, ni Kwamba siku hizi huli au!!!?Tushamjua..
Werrason !![]()
Karibu lunchKwema sana
Ikiwa ni kuku plus.....ntakujaKaribu lunch
Nipo mkuu za uzimaNnamtafuta blessedhope wakuu
Jamaa gn mkuuYaani yule jamaa, basi tuu. Ni mropokaji mzuri, hata mie amewahi nirushia maneno wala sikumjibu, wako wawili manunga embe. Nyuzi zao sichangii nasoma tuu napita
HahahaIkiwa ni kuku plus.....ntakuja
Kimya ni jibu zuri sana,linapunguza magomviYule jamaa ni mpuuzi sana, alishanijibu mbovu sii mara moja. Ila nina tabia ya kumuignore tuu
Ni jibu la mpumbavuKimya ni jibu zuri sana,linapunguza magomvi
Mugyabuka naye nampenda...niite ikiwa unamtafunaHahaha
Unanipa wasi wasi, leo ratiba inasoma samaki +++++
Jamaa gn huyo jmnKimya ni jibu zuri sana,linapunguza magomvi