shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mkuu LeeMkuuu
Mkuu LeeMkuuu
Clkey niajeHahahah mtani u know me very well bwana cko hvyo, nisamehe basi ngoja ntulie
Hahaha vipanga vya nnHii ni listi ya vipanga?
Wekend ya mwisho wa mweziiisina nilichoelewa wala sijitoi ufahamu naona watu mpo serious aisee nilikua sijui
Nakupenda ujueMdogo wangu wa Dar
ya onyo mpaka wewe apoHii ni listi ya vipanga?
UchocheziiiuSnipes ukuje![]()
Joka la kibisa tena aiseeUshaaanza!
Shunio niwe kama HR 666?![]()
HahahaMke gan sasa wa Asprin
nipo shemela miss u sanaaaShemela wangu upo
hahahhhuchochezi ndugu
Kumbe ushamgundua?Hahahahah ww shujaa wa kudanganya
Hapana.unataka kuvunja undugu pacha??
Hahahahahahahaaa!Samahani pacha huyo nimempokea mm na kumuelekeza. Wacha nichague mm kama awe wangu au niwaachie.
Tutapigana masumbwi ujue.



achana nae huyo nae ni wale wale watakuiba bureHahaha vipanga vya nn
Nshamsamehe Kakangu jamaniHakika nakupenda zaidi ya kutamkanaomba unisikilize, mpe T neno la msamaha, huyu kijana ni wa maana sana, alipitiwa na shetwani tu.
Wew hujawi kosea?
Msamehe kama unavyosamehewa
mambo ya humu ni kwikwiiii dada acha tuwe watazamajiHahaha
huo ni uchocheziii