Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unakosaa mambo kijana ...bonge la series

8bfe6825045477cd9a055bd2fc391514.jpg
Mpaka leo siielewi
 
1993 - Brandon Lee anafariki Dunia.

Ni wakati akiigiza filamu yake ya The Crow ambapo alipigwa risasi halisi iliyokuwa imewekwa kwenye bunduki ya kuektia.

Ni mtoto wa staa wa zamani wa filamu za mapigano Bruce Lee.

Inasemekana kifo chake ni hujuma kutokana na kwamba, alienda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake, hivyo alivyorudi Marekani akasema amalizie kwanza Movie yake kisha ataje kilichomuua baba yake, matokeo yake akafa na siri yake.
So sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom