Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndio Baba mchungaji mambo yake sio ya nchii hiiUmekuwa hand-some ni mambo ya Shunie nini!!!
Ndio Baba mchungaji mambo yake sio ya nchii hiiUmekuwa hand-some ni mambo ya Shunie nini!!!
Haya sasa tuangazie matukio yaliyotokea March 31
1889 - Mnara wa Eiffel Tower wazinduliwa rasmi huko Jijini Paris Nchini Ufaransa.
Ulibuniwa na Gustave Eiffel ambaye alikoselewa sana na baadhi ya watu kuwa mnara huo hauna shepu au muonekano wa kuvutia.
Una urefu wa mita 324 kwenda juu, sawa na viwanja vitatu vya mpira, na unatembelewa na watu takribani Milioni 6 kwa mwaka toka sehemu mbalimbali Duniani.
Ni moja kati ya alama na minara maarufu duniani.
Ndio utambulisho wa Jiji la Paris.
Goodmorning madameGod morning
1990 - Watu takribani 200,000 wanaandamana katika mitaa ya London kupinga kodi mpya ya poll tax
1948 - Al Gore anazaliwa.
Ni askari wa zamani na Makamu wa Rais wa 45 Nchini Marekani.
Alikuwa Makamu wa Rais chini ya utawala wa Bill Clinton.
Alishinda tuzo ya amani ya Nobel ya mwaka 2007.
Goodmorning sir hope you are fine, have a wonderful and Blessed day.Goodmorning family
1971 - Martin Atkinson anazaliwa.
Refa wa mpira wa Miguu muingereza ambaye anahudumu katika Ligi Kuu ya EPL.
Me tooIla siku moja tutaona tuu...
I wish that..
Nawatakia siku njema..
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema na maandalizi mema ya kuianza Wikendi.
Ijumaa Kareem.