Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Enheeeee panda kamlima nenda kabebe tuboksi hata 5 kibirizi.Wadau vita imeanza tayr ngoja nishike rungu!!!
Nawatakia siku yenye za MUNGU!!
Enheeeee panda kamlima nenda kabebe tuboksi hata 5 kibirizi.Wadau vita imeanza tayr ngoja nishike rungu!!!
Nawatakia siku yenye za MUNGU!!
Nawewe ugende ikatosho amazi yalagugwa chane!!
Mean Sana....sana. Ngoja nimuoneshe mrembo wa kirundi hapa anitafsirie hiki kiha
Amina mama mchungajiWapendwa Makapuku naamini mko salama na Mungu anazidibkuwatetea,mumi namshukuru Mungu sijambo baba mchungaji pia hajambo,naomba Mungu azidibkututetea na kutubariki wagonjwa wapone,wenye changamoto zozote zipite na tuwe na amani na mshikamano siku ya ijumaa ya leo iwe ya baraka tele,nawapenda sana mbarikiwe.
Acha utanii...sana. Ngoja nimuoneshe mrembo wa kirundi hapa anitafsirie hiki kiha
Mvua 57 tayari mkuu..!Ndio.
Umeona mvua ngapi
Au
Unamasika ngapi kichwani.
Kulu mkuu vipi uko po?
Sio kweli.Mvua 57 tayari mkuu..!
Mwaka 1960 hadi leo ni mvua ngapi?Sio kweli.
Unaweza kutabiri ni mvua ngapi kama huamini hizi 57?Sio kweli.
Wapendwa Makapuku naamini mko salama na Mungu anazidibkuwatetea,mumi namshukuru Mungu sijambo baba mchungaji pia hajambo,naomba Mungu azidibkututetea na kutubariki wagonjwa wapone,wenye changamoto zozote zipite na tuwe na amani na mshikamano siku ya ijumaa ya leo iwe ya baraka tele,nawapenda sana mbarikiwe.
Ninavyokufahamu huwez kutaja privacy zako hovyo hovyo kama hata jina huwez mwambia mtu.Mwaka 1960 hadi leo ni mvua ngapi?
Agasululu butikomo na kabashite...
saagalaAmina mama!Wapendwa Makapuku naamini mko salama na Mungu anazidibkuwatetea,mumi namshukuru Mungu sijambo baba mchungaji pia hajambo,naomba Mungu azidibkututetea na kutubariki wagonjwa wapone,wenye changamoto zozote zipite na tuwe na amani na mshikamano siku ya ijumaa ya leo iwe ya baraka tele,nawapenda sana mbarikiwe.
Ushatukana mkuu...Mmmmh katti nawe ..
Sitegeera ekigambo ekyo kimpaniikire
![]()
![]()
saagala
Hahahaha!Ninavyokufahamu huwez kutaja privacy zako hovyo hovyo kama hata jina huwez mwambia mtu.
Unaweza ongea kibembe?Mmmmh katti nawe ..
Sitegeera ekigambo ekyo kimpaniikire
![]()
![]()
saagala
30sHahahaha!
Mondaray bhana! Guess it
Umekosea kabisa..! I am 50's
