Makapuku Forum

Makapuku Forum

1972 - Evan Williams anazaliwa.

Ni Mfanyabiashara wa Kimarekani ambapo ni mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Twitter.
ed5cc45135ad6c0f18ce30067e969839.jpg
1c111a8e6756f9f2f69cd56f5fd326be.jpg
f4ce3b4e86dc48be8a7e11ce381530dd.jpg
 
1993 - Brandon Lee anafariki Dunia.

Ni wakati akiigiza filamu yake ya The Crow ambapo alipigwa risasi halisi iliyokuwa imewekwa kwenye bunduki ya kuektia.

Ni mtoto wa staa wa zamani wa filamu za mapigano Bruce Lee.

Inasemekana kifo chake ni hujuma kutokana na kwamba, alienda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake, hivyo alivyorudi Marekani akasema amalizie kwanza Movie yake kisha ataje kilichomuua baba yake, matokeo yake akafa na siri yake.
07fd4714f79d301447c21a04df8443fa.jpg
46ab96eb02816f6a42e34bf53f17f333.jpg
66d1f464ab7c79ff913bec415493bebb.jpg
ddc672c8e9d4a3a724c7e2bd2f41ab99.jpg

....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom