BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
PoleeMh!!!.....We una nini kila leo kuachwa!!!.....au huweziii.....![]()
![]()
![]()
PoleeMh!!!.....We una nini kila leo kuachwa!!!.....au huweziii.....![]()
![]()
![]()
Maombi Maombi MaombiWacha tu mm nina gundu balaa
Inabidi nikafukiwe kwanza kwa siku 7 ardhini.
CHUKUE TU.Unadhani nakuangalia vizuri..ukhuty labda utembee nae mfukoni
Hahaaaaa niombee sasa.Maombi Maombi Maombi
NjemaHabari ya mchana humu ndani
NakuombeaHahaaaaa niombee sasa.
Haya anzaNakuombea
Mkuu na hukuHaya anza
Amen and thank you.I'm very fine Madam, Amen.....be blessed too
R.I.P Jesse
Huyo dogo kaoa huyo mtotoSijaelewa
R.I .P Brandon Lee1993 - Brandon Lee anafariki Dunia.
Ni wakati akiigiza filamu yake ya The Crow ambapo alipigwa risasi halisi iliyokuwa imewekwa kwenye bunduki ya kuektia.
Ni mtoto wa staa wa zamani wa filamu za mapigano Bruce Lee.
Inasemekana kifo chake ni hujuma kutokana na kwamba, alienda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake, hivyo alivyorudi Marekani akasema amalizie kwanza Movie yake kisha ataje kilichomuua baba yake, matokeo yake akafa na siri yake.
Hapana huyo mama mchungaji.Mkuu na huku
R.I.P1980 - Jesse Owens anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanariadha kutoka nchini Marekani.
Mshindi wa medali kadhaa za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki.
Wacha tu mm nina gundu balaa
Inabidi nikafukiwe kwanza kwa siku 7 ardhini.

Weekend iwe ya barakaKumekucha kapuku, na Ijumaa hii ya mwisho wa mwezi , wikend huwa inakuwa tamu sana
Karibu Lee barikiwaAmina mama mchungaji









