Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E

My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic' [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie


Mr T and sakayo nawamis

Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu


[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nina dk 15
Tumekumiss sana mpendwa Lee Empire Mungu akubariki katika kazi zako uwe mzimq na mwenye afya njema na kazi yako iwe ya mafanikio
 
Back
Top Bottom