Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
aisee usingie binamu
Kwanini nisiingie aunt, kwani mjomba hayuko huko?
aisee usingie binamu
huyo akiingia atanitoa juzi nilimuona malkia yupo kuleKwanini nisiingie aunt, kwani mjomba hayuko huko?
Natumai mungu atasaidiaMatumaini vipiii??
Preshaa za kujitakiaaa za niniKwanini nisiingie aunt, kwani mjomba hayuko huko?
Mimi nilikuja peke yangu kwa huduma ya kiroho ,Ikimpendeza Mungu basi atanitendea muujizamm apa mama mchungaji unizoee tu nispoonekana unanimiss mwenyewe na mambo yangu
me naomba kumjua baba mchuchu tumpe heshima zake kama tunavyokuheshimu ww
Utaolewaaa mkuuNatumai mungu atasaidia
Ameen mama mchungajiMimi nilikuja peke yangu kwa huduma ya kiroho ,Ikimpendeza Mungu basi atanitendea muujiza
Usitufanyieeee hivooMimi nilikuja peke yangu kwa huduma ya kiroho ,Ikimpendeza Mungu basi atanitendea muujiza
Mimi nilikuja peke yangu kwa huduma ya kiroho ,Ikimpendeza Mungu basi atanitendea muujiza
Njema pole na majukumuHabari za mida hii wanafamilia
HahahahaNajua Leo humuachiiii
NaipendaaaaaNdiooooo utakula mihogo Leo na kachumbariiii
Nipo dear nikukimbie wewe tenanaanzaje kumuacha ila naona kama atanikimbia
karibu kwetu ule mama mchungajiNaipendaaaaa