BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nampenda sana Mtumishi wa Mungu Abihudi Misholi..nimefurahi ..naupenda sana wimbo huu nausikiliza mara nyingi sana asante mkuu Obe
Leo nipo nanyikaribu kwetu ule mama mchungaji
BagamoyoKweli eeh, siku moja ni masaa 24, sasa nisipokuja humu ntaenda wapi? Jukwaa la Wakubwa?
NyoooooNa sisi tunataka hivoo mfungiane chumban
Mniache kwa livi nimefika, siendi kokotemalkia haeleweki
Kule nimewahi kukutana na balaa miaka ya 2013 dooh! Nilichooka[emoji23][emoji23]huyo akiingia atanitoa juzi nilimuona malkia yupo kule
umemtukana mume hivyo [emoji15]Nyooooo
balaa gan tenaKule nimewahi kukutana na balaa miaka ya 2013 dooh! Nilichooka[emoji23][emoji23]
Af wewe![emoji7] [emoji7]poa mukongo nimekumiss
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]Tuheshimianeee mushenga
Uchelewiii kusema wewe mpini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilicomment sentensi nusu tu ya utani...hee ikachkuliwa serious, mtu acha akomae na mimi kuntafutaa! Afu enzi hizo sasa na viakili vya kitoto....ni vile tu niliepuka huo msalabalaa gan tena
Mtulize mumeoumemtukana mume hivyo [emoji15]
[emoji17] [emoji17] [emoji17]umemtukana mume hivyo [emoji15]
Vuta nk'uvuteeeNilicomment sentensi nusu tu ya utani...hee ikachkuliwa serious, mtu acha akomae na mimi kuntafutaa! Afu enzi hizo sasa na viakili vya kitoto....ni vile tu niliepuka huo msala
Doh! Naomba hiyo riwaya kama unayo? Nmemmiss DengeVuta nk'uvuteee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ah wapi siwezUtaolewaaa mkuu
Ushaambiwa kule wamejaa madume jike[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ah wapi siwez
Eee bac [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ushaambiwa kule wamejaa madume jike
hapana aisee malkia utani usivuke mpaka mume anaumaMtulize mumeo