Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukisikia 'The Triple Entente' ndo hii sasa, weka goti tunaweka jiwe, kubali tukubaliane, kataa tukushawishi kimedani
Mkuu iko hivii

Kwanza mwambie weeeiiiitaaa aongezee


Mkakakati wa kwanza huyu mrembo anayejifanya habandukiii ni kumfanya livi wake hasirudiii kabisa fund wetu yupo

Akitokeaa yule moderator tukikutana nae tunampa Buku ampige ban livi


Apo bibie tunampata sema uache ubailiii tumtoe ata lunch
 
Ami%2520KB%252020170110_155002.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom