Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimeipenda hiyo ya ban, hivi si hata pm wanakuwa hawawasiliani? Maani ni miaka imepita sasa tangu nile ban kule kwenye siasa.

Ubahili nitaacha, si nimekueleza siku hizi nahesabu sadaka, au umesahau. Atakula pesa za waumini maana hazina mapungufu
Yaaaaah ata pm haoniii ndaniiii


Nakumbukaa vizuriii bhinamuuu bhasiii ngoja tuone kesho mahesabuu
 
baba mchungaji haeleweki hata ww naskiaga unaitwa hivyo na lee

yote kwa yote mm nataka jibu kutoka kwa mama mchungaji aseme baba mchungaji wetu n nan
Bhinamuuu amemezaa mistari ya bibliaaa ila badooo malkia anaruka viunzii


Ila unaonajee bhinamu akampata malkia??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom