Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,101
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi umequote mara mbili....kweli hukuomba[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi umequote mara mbili....kweli hukuomba[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??
Subira yavuta heri[emoji4] [emoji4] [emoji4] am weiting
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??
Mimi niko humu kapuku tangu muda sana, sema nilibanwa na mambo fulani fulani nikapotea, alafu wakati huo nilikua bado sijajifunza kua mkimyahahahahahh kinyongo gan, halaf kuna kitu nimeona toka uingie huku kapuku umekua mpole mbona zaman ulikua mwongeaji sana
Una bidii[emoji23][emoji23]Moyo wake uupeleke wapi na sisi tutumie upi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahahahh ndio mana alikua hajijui kama yupo kwenye mchujo yy sijui anamtaka nan[emoji23][emoji23][emoji23]hadi umequote mara mbili....kweli hukuomba[emoji23][emoji23][emoji23]
sema nikikutumia hayo macho humu wanga wengi, watanilogaNayapenda
kwahiyo ulivyorudi mara ya pili ndio umejifunza kuwa kimyaMimi niko humu kapuku tangu muda sana, sema nilibanwa na mambo fulani fulani nikapotea, alafu wakati huo nilikua bado sijajifunza kua mkimya
Hana msimamohahahahahh ndio mana alikua hajijui kama yupo kwenye mchujo yy sijui anamtaka nan
Hutaki moyo wako ufanye kazi ya kupendaNimefanyaje tetra?
hahahhh naona mshindi kwa mbaliUna bidii[emoji23][emoji23]
Ushauri mzuri lakini Malkia. We mwenyewe ni mgeni huku au ulikuwepo halafu ukaondoka?Ng'ang'ania hapohapo....hadi ubarikiwe[emoji87][emoji87][emoji87]
Msimroge jamanii[emoji23][emoji23]sema nikikutumia hayo macho humu wanga wengi, wataniloga
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji120]Una bidii[emoji23][emoji23]
hahahhahah namuona soudy brown kwa mbali anaibuka mshindiHana msimamo
Yeap, alafu siunajua na scarcity ya humu...ni bora kua mpole tukwahiyo ulivyorudi mara ya pili ndio umejifunza kuwa kimya
Kwahiyo mmeamua kunisemaHana msimamo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji102]hahahhahah namuona soudy brown kwa mbali anaibuka mshindi
hahaha mm tena jamaanYeap, alafu siunajua na scarcity ya humu...ni bora kua mpole tu
Plus wewe mwenyewe ..ni shida tupu
Aaaah, siweziUlale saizi