Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,097
Nimekata jina lakeeb mfikilie tetra malkia
Nimekata jina lakeeb mfikilie tetra malkia
I hope mimi simo
humtaki tenaKwini nkami
Mchkue wewe akae hata kwenye figommh tetra usimtoe malkia
Kaza kamba za buti lakoProcedure izo dude step by step
hahhahah na ww ulikuepo sijui nn umemuudhi kakutoa kwenye mchujohahaha, kwani na mimi nimo??
Kaza kamba za buti lakoProcedure izo dude step by step
Hahaha, labda kumpotezae bahatihapo sawa nitakusaidia
hahahhhah mm sitaki mm wa lee tu jamaan tuacheni na baby daddy wanguMMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...
MMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...
mkuu angalia mbavu zetu hazina asipilini
Tunakesha leoBado mko macho tu
haujamtendea haki lkn eb mpe nafasi ya mwishoNimekata jina lake
Hahaha, mnaniua kwa vicheko aiseeYaani huku Makapuku kuna uhaba mkubwa wa mabinti. Imagine kuna Queen Kan, Shunie na mwingine sijui nani. Na karibu wote wanadai wana watu wao. Sasa sisi makapuku wengine tufanyeje? Ndiyo maana huko nyuma niliwahi kushauri tujaribu hata POLYANDRY liwalo na liwe...
mm siwezi ata kumuweka kokoteMchkue wewe akae hata kwenye figo
Zipo mazubuti mkuuKaza kamba za buti lako
Hahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??Napunguza jina lako....wamebaki wawili![]()
Hahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??Napunguza jina lako....wamebaki wawili![]()
Moyo wake uupeleke wapi na sisi tutumie upiHahaha, kwani na mimi niilikuomba moyo wako??
