hahahhh mwehu wwMie nakuzimia kabisaa
Samahani Mondray, naondoka!!!
KhaaaaAisee!![]()
Asante sana mkuuKaribu..
Asante mamypole sana dada
Ndio, naenda kutembea mume wa maisha yanguWhat?
Hehehehahahhh mwehu ww
Umeona eeeh! Siku tukionana halafu uwe unaniangalia kwa makini sijui utakuwa ndo umenifia au. Can't wait! Koromijeeeeee!!!Khaaaa
Take care!Ndio, naenda kutembea mume wa maisha yangu
hahahhahHehehe
Chezea ban wewe, lazima uage
hapo lee anakua wapi wkt nakuangaliaUmeona eeeh! Siku tukionana halafu uwe unaniangalia kwa makini sijui utakuwa ndo umenifia au. Can't wait! Koromijeeeeee!!!
Sawa my love!!!Take care!
Huku pashakuwa home..
Noo! Be free my love..Sawa my love!!!
Au nikalale kabisaa, maana sipendi kukuudhi
Uwe unatutembeleaaYeah,
Nimekuelewa vyema mkuu.
Daaaaa mkuu bitoz barikiwa sana ngoja nijaribu nowUnahold post unayoitaka kisha unaenda juu kwenye vinukta ukigusa itakupa machaguo kisha unacopy link(post URL) then utapaste unapotaka![]()
NB
Unaweza kubadili tittle ya link utakavyo
........
Shem nawe hutaniwiiiPlease!!
Sijazoea kumuudhi mtu.
Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali
Utani na mashemeji huwa sinaga, unamjua Man Fongo vyema lakiniShem nawe hutaniwiii
Angelikuwa shunie angelisema unapanic mapema