Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Yeah,Usijali mkuu
Vipi lakini umepata kitu??
Mamboo mdogo wangu..Mwenzenu hata siyawezi hayo ndio mana nimepotea. Nitakuwa nakuja kuwasalimia pekee na kuishia.
Sishindwiiiiiiiii!!!!Ushiiiiiindweeeeee
Dada wapi unaendaSawa shem, naondoka![]()
![]()
Asante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu.Mmmwaaa
Pole kwa kazi mke wangu
Kulingana na homework yenyewe, dogo ni jiniazi. Safari nyingine mwalimu inabidi atoe maelezo yanayojitosheleza. Dogo katisha!Dogo NUNDA!
Siasani mdogo wanguDada wapi unaenda
huko habari za bashite tuSiasani mdogo wangu
Tii kiu ya moyo wake tafadhariMwenzenu hata siyawezi hayo ndio mana nimepotea. Nitakuwa nakuja kuwasalimia pekee na kuishia.
Nakutania tu mkuu wala usinijaliAsante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu.
Mie naelekea siasani.
Muwe na usiku mwema

sio vizuri hivyoMwenzenu hata siyawezi hayo ndio mana nimepotea. Nitakuwa nakuja kuwasalimia pekee na kuishia.
Bashite Mungu anamuonahuko habari za bashite tu
UsijaliNakutania tu mkuu wala usinijali