Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Quigley ni nani sasa mkuuUkiwazoea wote ila kuongea ruksa ila sio kwa style yako
Mfano nikuulize Quigley unamjua ??
Quigley ni nani sasa mkuuUkiwazoea wote ila kuongea ruksa ila sio kwa style yako
Mfano nikuulize Quigley unamjua ??
Asante mume wanguPoleee jamani..
Afu ndo maana jioni umekuwa mpoleee...!
Get will soon utamu wangu
Swadakta mkuuTuseme umejitia kitanzi kabisa..
mm bwana nampenda mondray original hii copy yake ya ray van haki tena simpendi hana heshimaHivi Ray Van Boy yuko wapi ?![]()
Niambie mdogo wangu wa darMmh dada
kweli dada utani tu ujue humu kapuku full utaniMmmmh
Ngastukaa
I hope so!!!kweli dada utani tu ujue humu kapuku full utani
mdogo ako wa dar nipo poa hofu kwako uliye mbaliNiambie mdogo wangu wa dar
hahahhh ban huku hamnaI hope so!!!
Ban naiogopa mie
Ugua pole my wiSijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu
Unahold post unayoitaka kisha unaenda juu kwenye vinukta ukigusa itakupa machaguo kisha unacopy link(post URL) then utapaste unapotakaNa ujanja wangu wote sijajua kuweka link
Ndo maana nikakupendaAsante mume wangu
Sijawa mpole jamani, ndo nilivyo
Mie mzima!!mdogo ako wa dar nipo poa hofu kwako uliye mbali
Mmmmhhahahhh ban huku hamna
Asante mwayaUgua pole my wi
pole sana dadaMie mzima!!
Nilienda Kilimanjaro mbona nimepatwa na nimonia, ndo niko kwa dozi
hamna bwanaMmmmh
Huwezi jua
Mie nakuzimia kabisaaNdo maana nikakupenda




What?Mie nakuzimia kabisaa
Samahani Mondray, naondoka!!!