Makapuku Forum

Makapuku Forum

9b0b8c2de2e8cefb9d7d01248a1cfa75.jpg

Usiku mwema kwa wanaolala!!!
 
Aiiiseeh shimba nimekupata kwaiyo wewe huu mwezi wa pili ujapata manzi?
Kuna manzi moto nimemzimikia ile mbaya niko tayari kumpeleka hata Koromije kabisa. Bahati mbaya (au pengine nzuri) kuna njemba imemkamata na inamchunga balaa. Sijakata tamaa na nipo nimegangamara mpaka kieleweke.

Statistically tunaambiwa eti wanawake ni wengi kuliko sisi madume ila hapa JF na hasa huku kwa makapuku, mamanzi ni wachache sana ndo maana inabidi tugombanie tu kwa sababu hakuna namna!
 
wanawake ni wengi sana mkuu shimba ilitakiwa wao ndo watugombanie sisi mi nakaa pembeni adi nifatwe mkuu
Maswala ya kuanza kuchimbiana dawa kisa madem mi staki saa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom