Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Baby natangulia kitandaniAsante
Mondray nilikuwepo!!!
Ukimaliza stori na shost zako uje mama..
Nakusubiri kwa hamu...! Afu leo si unajua nimekunywa wine kidogo..
Natakusubiria mama..
Baby natangulia kitandaniAsante
Mondray nilikuwepo!!!
Utakuwa umemuaga kuwa unakwenda kumsalimia shangazi yako Bagamoyo. Si ajabu naye huko home ulikomwacha atakuwa bize anachepuka. Ohooo!!!hapo lee anakua wapi wkt nakuangalia
Twenzetu tukalale love, naanzaje kupiga story huku wewe umelala peke yako!!!Baby natangulia kitandani
Ukimaliza stori na shost zako uje mama..
Nakusuniri kwa hamu...! Afu leo si unajua nimekunywa wine kidogo..
Natakusubiria mama..
Mkuu umeongea kutoka rohoni imenigusa adiBaby natangulia kitandani
Ukimaliza stori na shost zako uje mama..
Nakusubiri kwa hamu...! Afu leo si unajua nimekunywa wine kidogo..
Natakusubiria mama..
mimiUnatafuta? Mi huu mwezi wa pili nahangaika couplez zimegandana kama ruba. Jaribu bahati yako mkuu...Lakini kama ulivyoambiwa hapo juu huku ni stress free zone na utani ni mwingi sana. Don't take everything seriously kama Bashi.te...Jamani hivi humu kunawachumba maana naona apo juu ni zaidi ya mapenzi mubashara all in all na mimi natafuta
Twende mama...Twenzetu tukalale love, naanzaje kupiga story huku wewe umelala peke yako!!!
Mashost mtanisamehe, naenda nalala na shem wenu.
Baby love Twenzetu honey!!!
Sawa mkuu malaika wakutangulie skuizi majinamiz wengi mpaka roba ya mbao ipoHello Fellas...
Nashukuru kwa kampani ya leo..
Naaamini kila mtu ana amani na furaha..
Nawatakia usiku mwema.
Nami pia Niwatakie usiku murua!!!Hello Fellas...
Nashukuru kwa kampani ya leo..
Naaamini kila mtu ana amani na furaha..
Nawatakia usiku mwema.
Aiiiseeh shimba nimekupata kwaiyo wewe huu mwezi wa pili ujapata manzi?Unatafuta? Mi huu mwezi wa pili nahangaika couplez zimegandana kama ruba. Jaribu bahati yako mkuu...Lakini kama ulivyoambiwa hapo juu huku ni stress free zone na utani ni mwingi sana. Don't take everything seriously kama Bashi.te...
Okey my love, let's go my sweetieTwende mama...
Kaa mbele basi...nataka nishike kiuno cha nyigu hicho..
Lets move my love..
Mkuu kazi njema na yenye mafanikioTwende mama...
Kaa mbele basi...nataka nishike kiuno cha nyigu hicho..
Lets move my love..

Walimfuga sana huyo Mbwiga acha wavune walichopanda![]()
Nawaona nawaona!
Hello Fellas...
Nashukuru kwa kampani ya leo..
Naaamini kila mtu ana amani na furaha..
Nawatakia usiku mwema.

Sawa mkuu malaika wakutangulie skuizi majinamiz wengi mpaka roba ya mbao ipo
eti jinamizi linapiga roba za mbao
Barida mkuu!Mkuu umeongea kutoka rohoni imenigusa adi![]()
mimi
Haikosi hujawahi kupigwa roba ya mbao mkuu![]()
eti jinamizi linapiga roba za mbao
![]()