Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Dont go!Asante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu.
Mie naelekea siasani.
Muwe na usiku mwema
Dont go!Asante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu.
Mie naelekea siasani.
Muwe na usiku mwema
Nitakukuta huko..Siasani mdogo wangu
Mkuu ban hapana bana ban naskia ni mbaya unaiona jf kama game la puzzleMkuu nikupe ban ??
Karibu..Mmenikaribisha vizuri sana...humu ndani mda wote mubashara, hakuna uchoyo kabisa![]()
Samsung j3 (6)Daaaaaaah
Unatumia simu gani??
Mkuu wenge nimekwambia nipo motivated itabid mnizoee hivo hivo tu lkn ma2c sipendeleagiOngeraaa ila wenge punguzaa
Mondray anatania bhnaa..!Usijali
Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu
hahahhh sana ana roho ngumuBashite Mungu anamuona
alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondrayUsijali
Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu
Poleee jamani..Sijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu
Please!!Dont go!
Hamna shidaNitakukuta huko..
Hivi Ray Van Boy yuko wapi ?alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray



HahahaNiko pouwa kabisa!
Wifi yako yu mzima wa hali..
Anafanya vitu amazing tuu..
MmmmhMondray anatania bhnaa..!
Yaani yule jamaa ni sheedahahahhh sana ana roho ngumu
Mmh dadaPlease!!
Sijazoea kumuudhi mtu.
Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali
Mmmmhalikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray