Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nina mashaka umelewaaa weweSi tunaondoa stress mazeee ila hakuna ubaya sio mkuu
Nina mashaka umelewaaa weweSi tunaondoa stress mazeee ila hakuna ubaya sio mkuu
Naomba ukwaju plizKila aina ubuyu,ukwaju ,mixed fruits,maji,nanasi na tikiti,ice cream,yogurt,Lozerakaribu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu nimeelewa sema umelewa vibaya kwamba na mimi nimelewaNina mashaka umelewaaa wewe
Iyo mbio uliotokanayo apo ni kama unakimbizwa na gari za mwendokasi kunani?
Oyeee kila saaa au umelewa like zetu mkuu achaa wenge tulia mambo yajipe

Unachanganya Habari mkuuAcha mikwala ww Shunie ni wakwetu sote
Wa kunitoa kamatini
Acha woga!Nilijuaaaaaaaaaaaaa
Lee emipre vip mkuu mbona meno nje![]()
![]()
![]()
![]()
Wee jamaaa
Nimekosea mkuu nilitaka kuandika kapukuUnachanganya Habari mkuu
Sasa we endelea kumsumbua shunie kufikia saa 2 na nusu utaiona jf mwakanMkuu naogopa kupigwa ban mimi
Mkuu nimecheka sana japo sijajua mmeanzia wapiNimekosea mkuu nilitaka kuandika kapuku
Ukiwazoea wote ila kuongea ruksa ila sio kwa style yakoNi mda gani ufike ndo nianze kuongea sana
Andika upyaaRudi page utayaona mkuu na uyajibu kwa ufasaha
Kwema mkuuMakapuku ni ajeeee!!!!
AminaaaaaaLEO MMETISHA COUPLE YA LEE EMPIRE Vs SHUNIE KWA KUTUPIA
146k NA 147k
PARABENS
Mkuu nikupe ban ??Lee emipre vip mkuu mbona meno nje
DaaaaaaahMkuu nimecheka sana japo sijajua mmeanzia wapi